Rais wa chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Namala Mkopi ametangaza kuanza kwa mgomo wa Madaktari usio na ukomo, kote nchini Tanzania.
Mgomo huo unaishinikiza Serikali kuwafukuza kazi Waziri wa Afya Dkt. Hadji Mponda na Naibu Wake Dkt. Lucy Nkya ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya maazimio ya mkutano wao uliofanyika mwezi Februari, 2012 katika ukumbi wa CPL, Muhimbili na Serikali, ikiongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

No comments:
Post a Comment